Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuPichaMaadhimisho ya Kimataifa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani imekuwa ikiadhimisha siku mbalimbali za Kimataifa, miongoni mwazo ni siku ya Wanawake Duniani kila tarehe 8 Machi, Siku ya UKIMWI Duniani, inayoadhimishwa tarehe 1 Desemba na  siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika, kila tarehe 6 Juni.  Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari baadhi ya matukio ya maadhimisho ya Kitaifa kwa picha.

Siku ya Wachangia Damu Siku ya Kunawa Mikono
Siku ya Kunawa Mikono Siku ya Mtoto wa Afrika
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-25 07:33:32
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page