Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoSHIRIKA LA MAENDELEO WA UMOJA WA MATAIFA (UNDP)

Mpango huu ulianza shughuli zake Tanzania baada ya kutia saini makubaliano ya msingi ya msaada (SBAA) na serikali, tarehe 30 Mei, 1978.  Lengo kuu la UNDP nchini Tanzania ni kusaidia Serikali ya Tanzania kuboresha maisha ya wananchi kwa kutumia maeneo mengi ya utendaji yaliyoelezwa kwa muhtasari katika sehemu hii yakiwemo, utawala bora, mabadiliko ya tabia nchi na nishati, mazingira na maliasili, maendeleo ya sekta binafsi na uendelezaji wa uwezo.  Tanzania ilitangazwa na mpango wa marekebisho wa umoja wa mataifa kuwa miongozni mwa nchi nane za majaribio unaojulikana kama kutoa huduma kwa pamoja (DaO) Januari, 2007.  Jitihada za DaO ni mchakato unaoongozwa na nchi kwa kuzingatia kanuni ya umiliki na uongozi wa taifa.  Zimekusudiwa kufanya nafasi/wajibu na mchango wa mfumo wa Umoja wa Mataifa katika ngazi ya nchi kuwa wenye mfungamano zaidi, tija na ufanisi.

Maendeleo ya Sekta Binafsi Utawala wa Kidemokrasia
Environment and Natural Resources Mabadiliko ya Tabia ya nchi na Nishati
Uendelezaji wa Uwezo
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-25 13:00:54
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page