Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoUmoja wa Mataifa

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanashirikiana bega kwa bega na serikali ya Tanzania wa Watanzania kuweka mazingira ambapo kila mmoja ataweza kushiriki na kunufaika kutokana na mchakati wa maendeleo.  Kama miongozi mwa nchi nane zinazojaribu marekebisho ya Umoja wa Mataifa, Umoja wa Mataifa nchini Tanzania inakusudia kutoa msaada uliofungamana na wenye tija zaidi.Kuna haja kwa Umoja wa Mataifa kujipanga upya ili kuwa na manufaa zaidi na kutoa kwa ufanisi msaada wake katika mazingira yanayobadilika mara kwa mara nchini Tanzania.

Timu ya Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania inakusudia kusaidia juhudi za taifa kupunguza umaskini, kuhimiza ukuaji uchumi wa watu maskini na kuharakisha maendeleo ya watu ili Tanzania ifikie malengo iliyojiwekea katika MKUKUTA na MKUZA na kwa upana zaidi kufikia malengo ya maendeleo ya milenia (MDG) ifikapo mwaka 2015.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-25 16:07:58
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page