Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoSHIRIKA/TAASISI YA UTAFITI WA TIBA BARANI AFRIKA (AMREF)

Taasisi hii inawezesha jamii na kusaidia Serikali katika ngazi zote kubainisha na kushughulikia mahitaji muhimu ya afya.  AMREF inawahimiza wananchi kupima VVU kwa hiari kwa kutumia mradi wa ‘’Angaza Zaidi" na kupunguza unyanyapaa unaohusishwa na ugonjwa huo, aidha inaboresha afya na kiwango cha maisha kwa kutoa huduma za maji na usafi/afya, kuelimisha jamii na kuhimiza tabia bora za maji na usafi/afya katika ngazi zote kwa kutumia mradi wa ‘’Maji ni Uhai’’.  Nchini Tanzania AMREF inafadhili mashirika yanayopambana na VVU nchini kote pamoja na wanufaika wakuu wa mfuko wa kimataifa wa kupambana na UKIMWI, kifua kikuu na Malaria (GFATM).  AMREF pia inashughulikia fistula kupitia vifo vya uzazi na ugonjwa kwenye Progaramu ya Taifa ya Fistula. 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-25 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page