Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoShirika la Maendeleo la Ujerumani

Ushirikiano wa Ujerumani na Tanzania ni wa aina na viwango mbalimbali.  Pamoja na ushirikiano wa pande mbili wa moja kwa moja, Ujerumani pia inachangia kwenye programu kati ya nchi nyingi zinazoendeshwa na taasisi kama vile Tume ya Umoja wa Ulaya na Benki ya Dunia.  Aina ya tatu ya ushirikiano ni msaada unaotolewa na Ujerumani kwa vyombo vya kanda kama vile Jumuiya ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika.

Aina ya ubia na shughuli zinazohusika zimejitokeza miaka ya hivi karibuni kwa kuwa uchumi wa Tanzania unaongezeka na kuimarisha umiliki wa ajenda ya maendeleo, msisitizo uko kwenye mipango mkakati na hivyo ubia kuzingatia zaidi mbinu zilizoratibiwa ndani ya sekta zilizobainishwa waziwazi Tanzania na Ujerumani zimekubaliana kuelekeza nguvu zao kwenye maeneo makuu mawili: maji na usafi, afya na VVU/UKIMWI na msaada kwa Serikali za Mitaa pamoja na msaada katika sekta hizi mahususi, ujerumani inatoa msaada wa bajeti ya jumla ili kusaidia utekelezaji wa MKUKUTA.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-25 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page