Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa Maendeleo Benki ya Dunia

Shughuli za Benki ya Dunia hivi sasa nchini Tanzania ni pamoja na miradi 25 yenye thamani ya takriban USD bilioni 2.85, sehemu kubwa ya fedha hizo zimetengewa uchukuzi. Aidha Tanzania inanufaika na miradi sita ya kanda ambapo fedha zilizotengwa mahususi ni USD milioni 221. Kukamilisha gharama za mradi na program, Benki hiyo inafanya pia shughuli za uchambuzi na msaada wa kiufundi. Kwa orodha ya miradi ya Benki ya Dunia nchini Tanzania tembelea tovuti ya Benki ya Dunia.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-30 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page