Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoWorld Vision Tanzania

World Vision Tanzania ina shughuli zake katika Mikoa 12 ya Tanzania zilizopangwa katika Kanda tano kila kanda ina kati ya Programu za Maendeleo za Eneo (ADP) 12 hadi 16, zinazosimamiwa na waratibu wa Programu.  Inafanyakazi kwenye ADP 62 na ruzuku 7 na miradi ya binafsi 50 isiyo na ufadhili, ofisi ya shirika hili inasaidia maisha ya watanzania zaidi ya milioni 4.5 wakiwemo watoto milioni moja chini ya umri wa miaka mitano.  Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti ya World Vision Tanzania.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-30 14:34:26
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page