Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoDanish International Development Agency

Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa miongoni mwa wanufaika wakubwa wa msaada wa maendeleo wa Denmark na Denmark ni miongoni mwa wa hisani wakubwa wa pande mbili kwa nchi. Lengo kuu la kazi ya DANIDA nchini Tanzania ni kuchangia katika ukuaji wa kiuchumi endelevu na wenye uwiano kijamii pia uboreshaji wa hali ya maisha kwa watu maskini zaidi nchini.

Tembelea tovuti ya DANIDA ili upate maelezo zaidi kuhusu vipaumbele vya kisiasa na vya Shirika la DANIDA na mkakati wa pamoja wa ushirikiano wa maendeleo uliyojengwa na Serikali ya Tanzania na Wabia wa Maendeleo.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-30 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page