Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoIdara ya Maendeleo ya Kimataifa

Shirika hili linafanyakazi nchini Tanzania kwa ajili ya kukuza kipato, kufikia malengo ya  Maendeleo ya Milenia na kuwasaidia wananchi kuiwajibisha Serikali yao. Tanzania ina utulivu wa Kisiasa na katika kipindi cha miaka 10 iliyopita imeshuhudia ukuaji wa uchumi ingawa upunguzaji mdogo wa umaskini wa kipato – 30% ya watu wanaishi chini ya £ 7 kwa mwezi. Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kumekuwa na maendeleo makubwa katika afya, elimu na huduma nyingine za msingi. Asilimia 90 ya watoto hivi sasa wanasoma shule za msingi. Hata hivyo changamoto iliyobaki ni kumfikia kila mmoja mwenye shida kwenye nchi hii kubwa yenye idadi ya watu waliotawanyika hapa na pale. Tembelea tovuti ya DFID ili upate maelezo zaidi kuhusu vipaumbele muhimu zaidi kuhusu vipaumbele muhimu vya DFID nchini Tanzania.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-30 17:41:30
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page