Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa MaendeleoWakala wa Maendelo ya Kimataifa ya Kanada

Kanada imedhamiria kwa dhati kuimarisha maeneo ya kuzingatia na kuongeza mafanikio yake katika sekta tatu kulingana na mkakati.  Sekta hizo ni pamoja na afya, utawala na maendeleo ya sekta binafsi, yote yamebainishwa na Tanzania na Kanada kuwa ni muhimu kwa upunguzaji wa umaskini.

Uzingatiaji zaidi wa afya ya uzazi na mtoto wa CIDA ni muhimu sana kwa kuboresha maisha na ustawi wa Watanzania.  Kanada inasaidia juhudi za kuongeza upataji wa watumishi wa afya wenye ujuzi, kuongeza idadi ya watoto wachanga wanaozaliwa kwenye vituo vya huduma za afya, husaidia kuzuia malaria na kifua kikuu, husaidia kukinga kuenea kwa VVU/UKIMWI miongoni mwa vijana na kupunguza athari yake kwa watoto na familia zao.  Msaada wa Kanada kwa juhudi za elimu za Serikali ya Tanzania zinaongeza viwango vya kusoma, kuandika na kuhesabu, huongeza ubora wa ufundhishaji, kuongeza upatikanaji wa haki na usawa wa elimu ya sekondari na ufundi stadi na  huwapa vijana ujuzi na mafunzo ya kupatia ajira.  Tembelea tovuti ya CIDA kwa taarifa zaidi kuhusu miradi inayogharimiwa na Kanada nchini Tanzania.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-12-30 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page