Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUzalishaji Viwanda

Mpaka sasa sekta ya viwanda bado ndiyo ndogo kabisa, ingawa ni sekta ya uchumi/inayokuwa haraka sana. Katika mwaka 2004/05 sekta hii ilikua kwa 9.5%, na katika vipindi vya 2002/03 hadi 2004/05, Ukuaji wake ulikua wa wastani wa 8.0% kwa mwaka. halikad halika, hisa ya viwanda katika jumla ya mapato imeongezeka kutoka 19.3% mwaka 2002/03 hadi mwaka 2004/05. Viwanda ni miongoni mwa sekta kuu zinazohimizwa sana na sera ya serikali kuharakisha upunguzaji wa umaskini kwa sababu bei za bidhaa za viwandani zinaonyesha kuwa thabiti zaidi zikilinganishwa na zile za kilimo au bidhaa za kilimo za msingi zisizochakatwa. Ongezeko la hisa ya mapato ya sekta inatokana hasa na ongezeko la mapato kutokakwenye sekta ndogo rasmi za utengenezaji, zilizonufaika sana na uchumi mkuu uliyothabiti na amani na utulivu kwenye sehemu nyingi za nchi.

Kwa maelezo zaidi bofya http://mit.go.tz/ 

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Mamlaka ya Maeneo Huru ya Uwekezaji
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2018-07-24 10:44:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page