Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliNyaraka

Serikali inatoa nyaraka kwa madhumuni ya kutoa miongozo kuhusu sheria mpya na kutoa maelekezo kuhusu kanuni za mwenendo bora au “maadili mema”, kuomba taarifa kutoka kwa wahusika katika eneo lililofafanuliwa kisheria na kuwatahadharisha wanaohusika wakati wa kuzinduliwa kwa machapisho ya Serikali au Kampeni.  Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari nyaraka mbalimbali za Serikali zilizotungwa tangu tupate uhuru, zikiwemo zilizorekebishwa.


No Nyaraka Mwaka Faili / Anuani Miliki
1 Public Service Social Security Fund ACT No. 2 of 2018 2018 338.4 KB
2 Amendment of Act. No. 1of 2013 2013 320.6 KB
3 Amendment Act. No. 24 of 2015 2015 1.3 MB
4 Public Service Regulations 2003 2003 112.2 KB
5 Government Notice No. 119 of 2018 Amendment of Standing Orders 1 2018 24.0 KB
6 Amendment Act No. 1 of 2018 2018 138.2 KB
7 Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma ya mwaka 2008 2008 7.6 MB
8 Kirekebisho staff circular 2002 54.2 KB
9 Amendement Slip to Standing Order L.35B 2003 15.1 KB
10 Amendement Slip to Standing Order D 33 2005 20.9 KB
11 Public Service Amendment Act No. 18 of 2007 2007 2.1 MB
12 Rekebisho A Waraka wa Utumishi Na 1 Mwaka 1999 1999 80.7 KB
13 Waraka wa Mkuu wa Utumishi wa Umma Na.1 wa Mwaka 2015 Kuhusu Utaratibu wa Watumishi wa Umma wanaogombea Nyadhifa za Kisiasa nchini 2015 2.3 MB
14 Waraka wa Utumishi Na. 1 wa Mwaka 2015-Mwongozo wa Ufuatiliaji wa Uzingatiaji wa Maadili 2015 2.0 MB
15 Waraka wa Utumishi Na. 1 wa Mwaka 2015 Utaratibu wa Malipo ya Posho ya Kukaimu Cheo cha Madaraka (Superlative Substantive Post) 2015 1.7 MB
16 Waraka Kuhusu Mavazi ya Watumishi wa Umma, Waraka No.3 2007 71.2 KB
17 Waraka Kuhusu Huduma Kwa Watumishi wa Umma Wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, Waraka No.2 2006 64.8 KB
18 Waraka wa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wa Umma, Waraka Na.4 2005 77.8 KB
19 Waraka wa Viwango vya Malipo ya Posho ya Simu na Umeme kwa Watendaji Wakuu Wenye Stahili ya Kulipiwa Huduma Hizi, Waraka Na.2 2005 57.6 KB
20 Waraka Kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma, Waraka Na.1, Sheria Na.8 ya 2002 2004 362.8 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 11:27:22
Kufaa
4.0
5 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
5.0
3 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page