Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuWasifu wa TanzaniaWatu

Katika kipindi cha kuanzia mwaka 1967 mpaka 2012 idadi ya watu wa Tanzania imeongezeka takribani mara nne. Kiwango cha ongezeko la idadi kimetofautiana  katika kipindi hiki. Idadi ya watu imeongezeka kutoka watu 12,313,469  katika  sense ya kwanza ya baada ya Uhuru 1967 hadi 43,188,00 kama ilivyokadiriwa mwaka 2010.

Idadi ya watu kwa kilomita ya mraba ya ardhi  inatofautiana sana nchini Tanzania kutoka mkoa hadi mwingine. Watu wengi wamesongamana katika mkoa wa Dar es salaam ( Watu 3118 kwa kilomita moja ya mraba) na mkoa wa Mjini Magharibi ( watu 2101 kwa Kilomita moja ya Mraba ). Mioka mingine ya Zanzibar na Mwanza ina idadi ya watu  waliosongamana kiasi.

 Zaidi ya 80% ya watu  wananishi vijijini.  Idadi ya Watanzania inajumuisha makabila 158. Idadi hiyo inajumuisha pia watu wenye asili ya Kiarabu, Kihindi, Pakistani na idadi ndogo ya Wazungu na Wachina. 

 

Viashirio vya Taarifa za Watu

Uzazi    

Tanzania

Bara

Zanzibar

Uwiano wa Mtoto- Mama                           

0.7

0.7

0.7

Makadirio ya Uhai

     

Makadirio ya kuishi kwa ujumla tangu  kuzaliwa

55

55

59.5

 

Makadirio ya kuishi tangu  kuzaliwa kwa  wanaume

53

53

57.6

 

Makadirio ya kuishi tangu  kuzaliwa kwa wanawake

56

56

61.3

 

Viwango Muhimu

     

Kiwango cha ukuaji (asilimia)

2.9

3.0

2.6

 

 Vizazi na vifo kwa mwaka

     

Vizazi

1,678,325

1,630,162

48,163

Vifo

573,213

560,748

12,465

Idadi ya Watu

     

Uwiano wa  Jinsi  (wanaume kwa wanawake 100)

96.9

96.8

97.2

 

Mjini ( Asilimia)

26.3

25.8

42.9

Vijijini (Asilimia)

73.7

74.2

57.1

 

Idadi y a watu kwa kilomita

49

47

518

Chanzo: NBS (2010)


No Watu Faili / Anuani Miliki
1 Descriptive tables Tanzania Zanzibar 4.4 MB
2 Descriptive tables Tanzania Mainland 5.3 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 16:54:44
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page