Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuWasifu wa TanzaniaDini

Watu wa Tanzania ni waumini wa Kikristo, Kiislamu na dini za jadi. Wakristo wengi ni wa madhehebu ya Katoliki. Miongoni mwa waprotestanti, idadi kubwa ni Waluteri na Wamoravia waliotokana na utawala wa Kijerumani na Waanglikana wanatokana na utawala wa Kiingereza, wengi wao waliobaki ni Wapentekoste (Walokole). Wazanzibari wengi ni Waislamu.

Tanzania bara, Waislaamu wengi wako katika maeneo ya mwambao na wengine wako katika maeneo ya mijini ya bara hasa kwenye njia iliyokuwa ikipitisha misafara ya kibiashara na utumwa. Waislamu wengi ni wa madhehebu ya Sunni. Pia kuna vikundi vya dini nyingine hasa Tanzania bara kama vile Buddha, Hindu na Bahai. 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 17:41:30
Kufaa
2.8
4 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
4.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page