Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuWasifu wa TanzaniaLugha

Kiswahili ni lugha ya Taifa. Hata hivyo, Kiswahili na kiingereza zote ni lugha rasmi, hali ya kuwa Kiswahili ni lugha ya kufundishia elimu ya msingi, mawasiliano ya jamii na siasa; wakati kiingereza ni lugha ya kufundishia elimu ya sekondari, elimu ya juu, teknolojia na mahakama za juu. Kiswahili ni lugha inayounganisha watu wa makabila mbalimbali yenye lugha zao nchini Tanzania. Watanzania wanatumia kiingereza kushiriki katika shughuli mbalimbali za uchumi na utamaduni duniani. Kwa ujumla Watanzania walio wengi wanazungumza lugha za kibantu. Kuna takribani makabila 158.  Miongoni mwa hayo, kuna makabila yanayozungumza kibantu, kiniloti, kikhoikhoi na kikushi.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 19:15:02
Kufaa
4.7
3 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page