Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUtamaduniWatu na Maisha

Utamaduni unahusu imani, desturi na maadili ya pamoja au urithi, na unaorithishwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa watoto wao. Utamaduni unagusa takribani vipengele vyote vya maisha yetu katika ndoa, urithi na namna tunavyowalea watoto na elimu. Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari baadhi ya vipengele vinavyohusu watu na mitindo yao ya maisha katika maisha yao ya kila siku kama vile chakula, mavazi na mapambo, ndoa na malezi ya mtoto.

 

Chakula Ndoa
Malezi ya Mtoto na Elimu Urithi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 06:00:00
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page