Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUtamaduniAsasi Zinazohusu Utamaduni

Utamaduni unagusa takriban vipengele vyote vya maisha na mara nyingi huwa hatutambui nguvu ambayo utamaduni unachangia katika maisha yetu ya kila siku.  Utamaduni unaboresha maisha yetu.  Huleta pamoja  mila za kuvutia, hutuelimisha imani zetu kuhusu dunia, huelekeza namna tunavyotenda.  Baada ya kujua mchango wa utamaduni katika maisha yetu ya kila siku, Serikali ya Tanzania imeanzisha Mashirika mengi kusimamia utamaduni ikiwemo kukuza na kudumisha kwa njia ya mafunzo, tamasha na program za kubadilisha ujuzi na uzoefu. Sehemu hii itakuarifu Mashirika kama vile TASUBA, BASATA, na BAKITA yanayoshughulika na utamaduni

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBA) Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)
Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA).
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 06:46:46
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page