Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUtamaduniMakabila

Ndani ya mipaka ya Tanzania kuna takribani makabila 158 yanayoishi pamoja na kuzungumza lugha zinazowakilisha makundi makuu manne ya lugha za kiafrika. Makundi hayo ya lugha ni pamoja na ya Kikhoikhoi au lugha yenye “vidoko” zinazotumiwa na makabila ya wawindaji na wakusanyaji, kundi la Waniloti ambao ni wafugaji (Wamasai) Wakushiti na Wabantu; kundi la makabila ya kibantu ndilo kundi kubwa zaidi Tanzania. Licha ya wingi wa utamaduni na lugha nchini Tanzania makabila yote yanaunganishwa na matumizi ya lugha ya pamoja ya Kiswahili ambayo ni utambulisho wa taifa.


No Makabila Mahali Makundi Lahaja Jina Mbadala
1 Taturu Manyoni District-Singida Region, Hanaang District-Manyara Region Bajuta (Bajuuta), Barabayiiga (Barabaig, Barabaik, Barabayga, Barbaig), Bianjiida (Biyanjiida, Utatu), Buraadiiga (Buradiga, Bureadiga), Gisamjanga (Gisamjang, Kisamajeng), Rootigaanga (Rotigeenga, Rotigenga), Tsimajeega (Isimijeega). Sabaot is sprobably the most similar language. Barabaik and Kisamajeng dialects are very similar and are completely inherently intelligible. There are several other dialects or ethnic groups: Darorajega, Gidang’odiga, Bisiyeda, Daragwajega, Salawajega, Ghumbiega, and Mangatiga. Lexical similarity: with Kalenjin languages and Omotik of Kenya. Nilo-Saharan, Eastern Sudanic, Nilotic, Southern, Tatoga Datog, Datoga, “Mang’ati”, Tatog, Tatoga, Taturu
2 Sweta Musoma Rural and Tarime District-Mara Region Hacha (Haacha, Kihacha), Iryege (Iregi, Kiiryege), Kine (Kiine, Kikine), Kiroba, Kironi (Kikirone), Rieri (Rieri, Ryeri), Surwa (Kisurwa), Sweta (Kisweta). Lexical similarity: Simbiti dialect, Kuria and Suba of Kenya. Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Kuria Kisweta
3 Sumbwa Bukombe District-Shinyanga Region Lexical similarity: with Nyamwezi , Sukuma and Nilambas. Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Sukuma-Nyamwezi. Kisumbwa
4 Sukuma Kahama, Kishapu, Shinyanga Rural, Shinyanga Urban, Busega and Kwimba Districts-Shinyanga Region,Magu and Misungwi Districts-Mwanza Region, Bariadi and Maswa Districts-Simiyu Region Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Sukuma-Nyamwezi. Gwe and Kiya. Dialects contiguous with Nyamwezi. Lexical similarity with Nyamwezi, Sumbwa, Nyaturu, Kimbu, Nilamba and Langi. Kisukuma
5 Subi Biharamulo District-Kagera Region Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Haya-Jita. Kisubi
6 Sonjo Monduli and Ngorongoro Districts-Arusha Region Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Kuria Reportedly shows similarities to Gikuyu of Kenya. GiTemi, Kisonjo, Kitemi, Sonjo, Wasonjo, Watemi
7 Songwe Chunya District-Mbeya Region, Iringa Region
8 Simbiti Tarime, Musoma Rural and Musoma Urban Districts-Mara Region Niger-Congo, Atlantic-Congo, Volta-Congo, Benue-Congo, Bantoid, Southern, Narrow Bantu, Central, Kuria Hacha (Haacha, Kihacha), Iryege (Iregi, Kiiryege), Kine (Kiine, Kikine), Kiroba, Kironi (Kikirone), Rieri (Rieri, Ryeri), Surwa (Kisurwa), Sweta (Kisweta). Lexical similarity: Simbiti dialect, Kuria and Suba of Kenya. Kisimbiti, Kisuba, Simbiti
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 07:33:32

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page