Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUtamaduniSanaa za Maonesho

Makabila mbalimbali ya Tanzania  yanatambuliwa kwa kiasi fulani kwa maigizo, ngoma na muziki- kwa mfano ngoma ya kuchezea nyoka inayochezwa na Wasukuma. Baadhi ya vikundi vya sanaa hualikwa  katika sherehe mbalimbali za kitaifa kama vile mapokezi ya viongozi mbalimbali kutoka  nchi za nje na matukio mengine. Maigizo, ngoma na muziki hutumiwa pia na makanisa, mashirika ya maendeleo katika radio na televisheni kuhamasisha ujumbe mbalimbali kuhusu maendeleo ikiwemo mapambano dhidi ya UKIMWI, Malaria na rushwa na kampeni mbalimbali , uzazi wa mpango, kinga au chanjo. 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 08:20:18
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page