Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuSikukuu na Sherehe za TaifaSherehe za Maadhimisho ya Uhuru

Tanzania husherehekea maadhimisho ya Uhuru tarehe 9 Desemba kila mwaka. Katika siku hii mwaka 1961, Tanzania wakati huo Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza. Siku hiyo, Desemba 9, kulikuwa na fashifashi, shamrashamra na furaha jijini Dar es Salaam. Sherehe rasmi zilifanyika Uwanja wa Taifa na wakati huo huo kulikuwa na Mwenge wa Uhuru uliopelekwa kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.

Kwa heshima ya mafanikio haya ya kihistoria, Serikali inafuatilia sekta zake kwa kutaja mafanikio yake, matatizo na changamoto ilizozikabili tangu Uhuru na kupanga mwelekeo wa baadaye. Sherehe za miaka 50 ya Uhuru, mwaka 2011 ziliadhimishwa kwa kauli mbiu ya: "Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele."

Sherehe za miaka 50 ya Uhuru 2011 Sherehe za Uhuru 2012
Sherehe za Uhuru 2013 Maadhimisho ya miaka 49 ya Uhuru 2010.
Sherehe za Sikukuu ya Uhuru 2014
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 09:53:50
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page