Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuSikukuu na Sherehe za TaifaSiku Kuu ya Wafanyakazi

Sikukuu ya wafanyakazi duniani ni kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1886 yaliyotokea katika viwanja vya Haymarket j Chicago,Marekani.Polisi walikuwa wakitawanya mkusanyiko wa wafanyakazi wakati wa mgomo wa kupinga masaa nane ya kazi ambapo mtu asiyejulikana aliwarushia askari bomu.Polisi waliwalirushia risasi wafanyakazi na kuwaua wanne.

Siku ya hii kwa Tanzania hujulikana kama Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani  Mei Mosi, inasherehekewa kila mwaka tarehe 1 Mei. Sherehe hufanywa kitaifa na huwakutanisha wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali binafsi na umma.

Hotuba za Rais Tuzo
Picha Mei Mosi 2011
Siku kuu ya wafanyakazi 2015
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 10:40:36
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page