Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuSikukuu na Sherehe za TaifaSherehe za Mapinduzi Zanzibar

Sikukuu ya  Mapinduzi Zanziba inasherehekewa kila tarehe 12 Januari ambapo watu wa Zanzibar waliupindua utawala wa Sultan. Mwaka 1963, Visiwa vya Zanzibar vilipewa uhuru na Uingereza, mwezi Julai 1963, Serikali ya Sultani ilifanya uchaguzi wa wabunge na matokeo kuwa Waarabu waliopata wingi wa kura wa wastani walibaki madarakani na kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya nje ya Oman ingawa walishinda 54% ya kura.

Tukio hilo lilichochea/waafrika wengi, kutanzua tatizo hilo, vyama viwili vya waafrika, Afro Shirazi Party (ASP) viliungana na Umma Party kuongeza nguvu, tarehe 12 Januari 1964, ASP ikiongozwa na John Okello, ilihamasisha wanamapinduzi wapatao 600 kuingia mji wa Zanzibar (Unguja) na kupindua Serikali ya Sultani.

Sherehe za Mapinduzi Zanzibar 2012 Sherehe za Mapinduzi Zanzibar 2011
Sherehe za Mapinduzi Zanzibar 2013 Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar 2014
Sherehe za Mapinduzi Zanzbar 2015
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 11:27:22
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page