Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuSikukuu na Sherehe za TaifaMbio za Mwenge wa Uhuru

Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyiaka kila mwaka katika maeneo mbalimbali nchini. Mbio hizi huanza na tukio la kuwashwa kwa mwenge katika  mkoa uliochaguliwa kitaifa, kisha kukimbizwa mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani kutoa tumaini ,kuhamasisha ushiriki katika miradi ya maendeleo pamoja na kuhamasisha amani.

Mbio hizi huwa na kauli mbiu ambazo huchaguliwa kila mwaka kutokana na vipaumbele vya maendeleo kitaifa ambavyo huendana na uzinduzi wa miradi ya maendeleo katika maeneo unapopita. Mwenge huu unaambatana na ujumbe wa Matumaini, Upendo, Amani  na Heshima.

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2012 Mbio za Mwenge wa Uhuru 2011
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2015
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-08 12:14:08
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page