Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUwekezaji TanzaniaEPZA

Mamlaka Ya Maeneo Maalum Ya Mauzo Ya Nje (EPZA) ni wakala ya Serikali inayojitegemea inayoendeshwa na Bodi ya Wakurugenzi ikifanya kazi chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Mamlaka hii inaongoza na kutekeleza sera ya serikali kuhusu uhimizaji wa Maeneo Maalum ya Kiuchumi nchini Tanzania (SEZ).

Majukumu mengine ya EPZA ni pamoja na uendelezaji wa miundombinu ya EPZ/SEZ, utoaji wa huduma za biashara kwa wawekezaji wa EPZ/SEZ na kutoa leseni za EPZ/SEZ. Mamlaka hii inafanya kazi kama dirisha moja la huduma kwa wawekezaji wote waliopo na wanotarajiwa. 

ABOUT EPZA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2016-12-06 06:52:40
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page