Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliKanuni na sheria

Kanuni na Sheria ni masharti ya lazima yaliyowekwa na Sheria za Bunge  kama sehemu muhimu ya mfumo wa utekelezaji wa sheria yenyewe. Zinaweza kutumika kwenye Serikali Kuu au Serikali za Mitaa, kwa mtu mmoja mmoja au vikundi vingine. Kanuni na Sheria zinatofautiana na maagizo ambayo ni ya utaratibu wa kiutawala tu, zinazohusu matukio mahususi yanayohusiana na mamlaka maalum au watu mmoja mmoja. Kwa kawaida Sheria na Kanuni zinatekelezwa na mamlaka ya  usimamizi iliyoanzishwa kwa madhumuni au mamlaka nyingine iliyoamriwa kisheria.  Katika sehemu hii utapata sheria na kanuni mbali mbali.    

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2016-04-11 09:46:59
Kufaa
3.6
8 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 3
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
3.6
5 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page