Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuPichaShughuli za Maendeleo ya Kitaifa

Hivi sasa Serikali inaanzisha miradi ya kiuchumi nchini kote. Miradi hiyo ni ya miundo mbinu kama vile ujenzi wa barabara, ujenzi wa madaraja kwenye maeneo yaliyokabiliwa na huduma mbaya za miundombinu. Miradi hii ni pamoja na barabara ya Babati na Manyara, Barabara ya Singida, Ujenzi wa Daraja la Kigamboni kuvuka eneo la Bahari ya Hindi, Daraja la Matombo, Morogoro na barabara ya Manyoni, Kigoma – Itigi  Chanya hadi Singida.

Miradi ya Ujenzi wa Barabara
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 09:07:04
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page