Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuAlama za Taifa Mwenge wa Uhuru

Mwenge wa Uhuru unaashiria nuru na mwanga. Uliwashwa kwa mara ya kwanza juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mwaka 1961. Mwenge huu unamulika nchini na nje ya mipaka ili kuleta matumaini pale ambapo kuna kukata tamaa, upendo pale kwenye chuki na heshima pale penye dharau.Kila mwaka kuna mbio za mwenge zinazoanzia kwenye mikoa tofauti kuwakumbusha Watanzania jukumu lao la kulinda uhuru, umoja na amani ambavyo vimekuwepo na kudumu.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 13:00:54
Kufaa
4.4
7 Jumla
Inafaa Sana 5
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.6
5 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 2
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page