Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuFedha ya TanzaniaNoti na Sarafu Zilizoharibika

Idara ya Fedha hubadilisha fedha zilizoharibika kwa mfano noti zilizoungua, fedha zilizoathiriwa na kemikali n.k kwa wananchi. Sarafu zilizoharibika nazo hubadilishwa katika kaunta ya benki kwa thamani kamili. Fedha zilizoharibika lazima zitimize masharti yafuatayo:

  • Zisiwe zimeharibiwa kwa makusudi

  • Fedha lazima iwe halisi

  • Lazima iwe zaidi ya nusu ya ile fedha na kuendelea.

  • Lazima iwe na angalau namba moja iliyokamili

  • Iwe ina saini zote mbili

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 16:07:58
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page