Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuFedha ya TanzaniaNoti zinazotumika

Benki Kuu ya Tanzania imetoa noti mpya za benki tangu Januari 2011. Noti hizo mpya ni za thamani ya shilingi 500, 1000, 2000, 5000 na 10000.

Noti za benki za zamani zilizotolewa mwaka 2003 zinaendelea kutumika pamoja na toleo hili jipya. Fedha hizi zitaondolewa kwenye mzunguko polepole mpaka tarehe itakapotangazwa kuwa hazitumiki tena.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page