Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuFedha ya TanzaniaNoti zilizoondolewa katika Matumizi

Wakati Benki inapotoa matoleo mapya ya noti za Benki, zile zinazoondolewa katika matumizi ni lazima zirudishwe Benki. Matokeo yake, matoleo ya noti za Benki katika thamani za shilingi 10, 20, 200, 500, 1000, 5000 na 10000 zilizokuwa zinatumika kabla ya Februari 2003, zimeondolewa katika matumizi. Makao Mkuu ya Benki Kuu na matawi yake, yatakuwa na jukumu la kubadili kwa thamani kamili noti halisi, noti zote zilizoondolewa na kuzitoa katika matumizi.

Noti za Benki zilizoacha kutumika tangu tarehe 30 Septemba 2003

Noti ya Shilingi 2000

TZS 200 Banknote - Front View

Noti ya Shilingi 500

TZS 500 Banknote - Front View

Noti ya Shilingi 1000 

TZS 1000 Banknote - Front View

Noti ya Shilingi 5000

TZS 5000 Banknote - Front View

Noti ya Shilingi 10000

TZS 10000 Banknote - Front View

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page