Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuFedha ya TanzaniaAlama za Usalama

Fedha ni lazima ikubalike na jamii kama njia ya kubadilishana. Wakati fedha zinapotolewa, hufanyiwa mabadiliko ya mara kwa mara, ambapo kila badiliko lina lengo la kupata na kudumisha imani ya wananchi. Kwa fedha hiyo ambayo ni muhimu sana kwa ufanyaji kazi wa uchumi unaofaa.

Kuhakikisha kuwa noti ya Benki zinakubalika zinatengenezwa na kuingiziwa alama za usalama na kuzuia kughushiwa. Fedha za bandia ni tishio kubwa katika mzunguko wa fedha halisi za taifa. Alama za usalama kwenye fedha za noti zinakuwa kama kinga na kitu kinachopunguza kabisa hatari ya kughushiwa. 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 19:15:02
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page