Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliBungeKamati za Bunge

Bunge la Tanzania lina mfumo wa Kamati wenye Kamati za Kudumu na Kamati Teule. Aina ya Kamati za Bunge ni kama zifuatazo: Kamati ya Uendeshaji; Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge; Kamati ya Kanuni za Bunge; Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara; Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala; Kamati ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Kamati ya Huduma za Jamii; Kamati ya Maendeleo ya Jamii; Kamati ya Miundombinu; Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira; Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji; Kamati ya Ulinzi na Usalama; Kamati ya Nishati na Madini; Kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa; Kamati ya Masuala ya UKIMWI; Kamati ya Bajeti; Kamati ya Hesabu za Serikali na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa.

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-12 10:40:36
Kufaa
4.3
3 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 2
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
4 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page