Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliBunge Muundo wa Bunge

Bunge la Tanzania lina makundi ya wabunge yafuatayo (Rejea Ibara ya 66 ya Katiba): Wabunge waliochaguliwa kuwakilisha majimbo yao; Wabunge wanawake ambao idadi yao itaongezeka hatua kwa hatua kuanzia asilimia ishirini ya wabunge kama ilivyotajwa katika aya ndogo ya (1), (3) na (4) ya aya hiyo watakaochaguliwa na vyama vya siasa vinavyowakilishwa bungeni kwa mujibu wa Ibara ya 78 ya Katiba na kwa msingi wa uwiano wa idadi ya wabunge miongoni mwa vyama; Wabunge wa tano waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi kutoka miongoni mwa wajumbe wao, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na si zaidi ya wabunge kumi walioteuliwa na Rais.

Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 ulitoa idadi ifuatayo:

1

Wabunge walio chaguliwa kutokana na idadi ya majimbo

239

2

Wabunge wanawake wa viti maalum

102

3

Wabunge waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar

5

4

Mwanasheria Mkuu wa Serikali

1

5

Wabunge walioteuliwa na Rais

10

 

Jumla kuu

357

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-12 13:00:54
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page