Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaKuanzisha BiasharaUthibitishaji wa Jina la Kampuni

Hatua ya kwanza ni kuomba uthibitishaji wa jina BRELA kwa ajili ya jina la kampuni lililopendekezwa. Usajili wa Kampuni nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Kampuni, Sura ya 212 ya Sheria za Tanzania. Wawekezaji  wanaotaka kuanzisha kampuni ya dhima yenye kikomo hawana budi kwanza wathibitishe jina la kampuni wanalopendekeza kabla ya kujaza fomu ya maombi BRELA. Hii ni shughuli ya siku moja tu na hakuna gharama za moja kwa moja zinazohusika kwa shughuli hii huko BRELA.

Barua ya maombi ya uthibitishaji wa Jina la Kampuni lililopendekezwa ni lazima iwasilishwe kwa mkono au barua kwa Msajili wa Kampuni, ambaye anathibitisha jina kwa kutafuta wakati huo huo. Utafutaji  unaweka kuwapo kwa jina lililopendekezwa. Kama jina halipo utaratibu huo unajirudia. Njia rahisi zaidi ni kupendekeza majina mengi yanayofaa kadiri iwezekanavyo kwa uthibitishaji na hatimaye moja litakuwapo.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 06:46:46
Kufaa
3.2
9 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 4
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 3
Urahisi wa kutumia
3.6
10 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 4
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 2

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page