Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti Ubadilishaji wa Pasipoti na Hati za Kusafiria

Iwapo pasipoti imejaa au imeharibika kiasi cha kuhitaji kubadilishwa, mwenye pasipoti hiyo anaweza kuomba pasipoti mpya kwa Kamishna Mkuu wa  Uhamiaji kwa utaratibu ulioelezwa. Nyaraka zinazoambatanishwa na maombi ya ubadilishaji wa pasipoti na hati za kusafiria.

  • Maombi ya ubadilishaji wa pasipoti yataambatanisha na pasipoti ya zamani na picha nne za pasipoti;
  • Maombi ya ubadilishaji wa hati ya kusafiria yataambatanishwa na hati ya kusafiria ya zamani na picha mbili za pasipoti.


 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 09:07:04
Kufaa
5.0
1 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page