Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti Masharti ya Maombi ya Hati za Kusafiria

Hati ya Kusafiria ya Dharura.

Maombi ya hati ya dharura ya kusafiria itaambatanishwa na nakala nne za picha za pasipoti.

Cheti cha Utambulisho.

Maombi ya cheti cha utambulisho yataambatanishwa na ripoti ya polisi ya kupotea pale pasipokuwa na ofisi ua Ubalozi na nakala mbili za picha za pasipoti.

Hati ya Kusafiria ya makubaliano ya Geneva

Maombi ya hati ya kusafiria ya makubaliano ya Geneva  yataambatanishwa na barua kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, nakala ya kitambulisho cha mkimbizi na nakala mbili za picha za pasipoti.


 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 09:53:50
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page