Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti Ubatilishaji wa Pasipoti na Hati za Kusafiria

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji wakati wowote ule anaweza kubatilisha pasipoti na hati ya kusafiria  aliyopewa mwenye hati hiyo, iwapo;

  • Mwenye pasipoti anamruhusu mtu mwingine atumie pasipoti yake;
  • Mwenye pasipoti amefukuzwa nchini ama amerejeshwa Jamuhuri ya Muungano  wa Tanzania kwa gharama za serikali;
  • Mwenye pasipoti amegoma kuwa raia wa Jamuhuri ya Muungano  wa Tanzania;
  • Mwenye pasipoti amejiusisha na biashara haramu ya kusafirisha dawa za kulevya, biashara ya fedha za haramu, usafirishaji wa watu, vitendo vya ugaidi au shughuli nyingine yoyote ya haramu;
  •  Ni kwa maslahi ya taifa au usalama wa taifa.
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 10:40:36
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page