Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti Kubadilisha Pasipoti iliyoibwa au Kupotea

Iwapo pasipoti imepotea, imeibiwa au imeharibika sana, maombi ya kubadilishwa yataambatanishwa na tamko la kiapo la mazingira yaliyoihusu kupotea, wizi au kuharibika sana kwa pasipoti hiyo na mamlaka ilikotolewa taarifa ya kupotea, wizi na kuharibika.

Zingatia:

Kwa pasipoti iliyopotea au kuibiwa, mwenye pasipoti hiyo anatakiwa atoe taarifa yakupotea au wizi kwenye kituo cha polisi cha karibu na kutoa tangazo la kupotea au kuibiwa huko kwenye gazeti la kila siku linatoka mahali pa tukio.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 11:27:22
Kufaa
4.5
2 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page