Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti Ada za Pasipoti na Hati za Kusafiria

Ada za Pasipoti na Hati za Kusafiria

Na.

Aina ya Pasipoti na Hati ya Kusafiria

Ada (TSH)

1

Pasipoti ya Kawaida

50,000/=

2

Pasipoti ya Kidiplomasia

50,000/=

3

Pasipoti ya Utumishi

50,000/=

4

Pasipoti ya Afrika Mashariki

15,000/=

5

Hati ya Dharura ya Kusafiria

10,000/=

6

Cheti cha Utambulisho

10,000/=

7

Hati ya Kusafiria ya Makubaliano ya Geneva

20,000/=

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 12:14:08
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page