Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMaji

Maji ni muhimu kwa maisha na kudumisha mazingira, na yanatoa mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Maji yanagusa nyanja zote za maisha yakiwemo nyumbani, kilimo, mifugo, uvuvi, viwanda, wanyamapori, nishati, michezo na burudani na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii. Kwa kuzingatia umuhimu wa maji kwa maisha ya watu, Wizara ina mfumo wa kitaasisi kwa ajili ya huduma ya maji, utaratibu wa mifereji ya maji machafu na usafi / udhibiti wa afya, kwa kutenganisha kati ya maji  mijini na mifereji ya maji machafu na huduma za maji vijijini.

Kwa upande mwingine Wizara ina wajibu wa kufuatilia ubora wa vyanzo vya maji na kushiriki kwenye shughuli zinazohusiana na kudhibiti uchafuzi wa vyanzo vya maji unaofanywa na maabara ya ubora wa maji 16 na usimamizi wa Rasilimali ya maji unaofanywa na mabonde ya Maji Tisa. Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari shughuli na huduma zinazotolewa na wizara ikiwemo kusanifu na kujenga mifumo ya usambazaji wa maji na kusanifu na kuchimba Visima au Visima vya shimo.

Huduma za Majisafi na majitaka Mijini Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini
Ubora wa Maji Usimamizi wa Rasilimali Maji
Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji
Bohari Kuu ya Maji EWURA*
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-15 20:48:34
Kufaa
4.3
3 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page