Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUrithiSheria ya Urithi wa Utamaduni

Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine duniani inalinda urithi wa utamaduni kisheria. Ulinzi wa kisheria wa urithi wa utamaduni unaoshikika wa nchi unaathiriwa kupitia Sheria ya Mambo ya Kale ya mwaka 1964 (Sheria Na.10 ya 1964, Sura ya 550) ambayo ni sheria kuu na Sheria ya Mambo ya Kale (Marekebisho) ya mwaka 1979 (Sheria Na. 22 ya 1979).

Sheria ya 1964 ilifuta Sheria ya Uhifadhi wa Minara ya Ukumbusho ya mwaka 1937 na 1949 na kupanua mawanda ya urithi, uliotakiwa kuhifadhiwa. Sheria inatoa mzunguko wa jumla wa vifaa na maumbo/majengo yenye maslahi ya kiakilojia, kivisukuku, kihistoria, kiusanifu majengo, kisanaa, kiethinolojia au kisayansi. Sehemu hii inakuletea vitu vya urithi wa kitamaduni na sheria mbalimbal zinazolinda rasilimali hizo. 

Minara ya Ukumbusho Vitu Vinavyolindwa
Visukuku
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-16 06:46:46
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page