Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUrithiAina za Urithi

Baada ya uhuru serikali ya Tanzania iliona ni muhimu kuhifadhi urithi wa utamaduni unaopatikana Tanzania. Mwaka 1964 ilianzisha Idara ya Mambo ya Kale ili kufanya tafiti, kuhifadhi na kutunza historia, kivisukuku na kiakiolojia na vitu vyenye manufaa kwa taifa. Urithi  wa utamaduni wa Tanzania unaweza kugawanywa kwa ujumla katika urithi wa utamaduni usiohamishika na unaohamishika. Sehemu hii yafahamisha kuhusu hifadhi hizo.

Kiakiolojia na Kivisukuku Magofu ya Majengo na Makaburi
Maumbo/Majengo ya Kiethinolojia
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-16 08:20:18
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page