Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUshauri wa KusafiriChanjo ya homa ya manjano

Wageni wanaoingia Tanzania kutoka kwenye nchi na maeneo yenye homa ya manjano ni lazima wawe na vyeti  vya chanjo ya homa ya manjano vya kimataifa. Chanjo ya homa ya manjano inahitajika kwa wasafiri wote kutoka kwenye nchi/kanda/maeneo yenye mlipuko wa homa ya manjano. Watu wanaopitia kwa saa 12 au zaidi na/au wanaoondoka kutoka uwanja unaofuata wa jirani katika eneo lenye mlipuko wa homa ya manjano wanatakiwa waonyeshe uthibitisho wa chanjo mara tu wanapowasili katika bandari au kiwanja cha kuteremkia nchini Tanzania. Wanaowasili moja kwa moja kutoka nchi zisizo na mlipuko wa homa ya manjano za Ulaya na Amerika ya Kaskazini hawatakiwi kuonyesha cheti.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-16 13:47:40
Kufaa
4.3
8 Jumla
Inafaa Sana 4
Inafaa Kiasi 3
Sina Hakika 0
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.2
5 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 2
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page