Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUshauri wa KusafiriFedha

Shilingi ya Tanzania (Tsh.) imegawanyika katika senti 100.  Kuna noti za shilingi 500, 1000, 2000, 5000, na 10,000.  Sarafu zimo katika shilingi 50, 100, na 200.  Fedha zinaweza kubadilishwa  kwenye benki, maduka ya kubadilishia fedha na maeneo mengine yaliyoidhinishwa rasmi kama vile hoteli “Crediti Card (Access, Master Card, Visa, American Express, Euro Card na Diners” zinapokewa na hoteli kubwa nchini.  Hundi za Wasafiri za Dola za Marekani na Paundi za Uingereza zinapendekezwa, ingawa na “Euros” nazo zinapokewa.  Katika miji mikuu saa za kazi za Benki ni kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa (saa 2:30 asubuhi – saa 10:00 alasiri), Jumamosi ni kuanzia saa 2:30 asubuhi – 7:30 adhuhuri.  Mida hii inaweza kutofautiana katika miji midogo.  Mashine za kutolea fedha taslimu za ATM zipo kwenye matawi ya Benki kubwa na zinapokea  kadi za Kimataifa za “Master na Visa”.  Tafadhali zingatia kuwa benki zinafungwa siku za Jumapili na Sikukuu.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-16 15:21:12
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page