Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUshauri wa KusafiriTabia ya Nchi na Hali ya Hewa

Zanzibar na maeneo ya mwambao ni joto na unyevunyevu na halijoto ya kila siku huwa katika kiwango cha 30°C. Mwezi Oktoba hadi Machi ni kipindi cha joto zaidi. Upepo wa bahari unabadili tabia nchi ya maeneo na Juni hadi Septemba ni kipupwe zaidi na hali ya joto hupungua hadi 25°C katika eneo la Kilimanjaro, halijoto hutofautiana kuanzia 15°C katika kipindi cha Mei-Agosti hadi zaidi ya 22°C mwezi Desemba hadi Machi wakati unapopanda kilele cha mlima Kilimanjaro, halijoto hupungua hadi chini ya kiwango cha kuganda hasa usiku.

Halijoto ni ya wastani katika hifadhi za taifa za kaskazini. Uwanda wa kati ya nchi unakabiliwa na halijoto kavu na ukame yenye mchana wa joto na usiku wa baridi. Nyanda za juu za kusini na kaskazini-mashariki ni baridi na wastani. Nchi nzima kwa jumla; miezi ya joto kabisa ni Oktoba hadi Februari; Masika huwa kati ya Machi hadi Mei na mvua za Vuli ni Novemba.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-16 16:07:58
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page