Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiPanga Safari yakoMwongozo kwa Msafiri

Kujua unachotarajia na namna ya kujiandaa kwa safari ya Tanzania ni miongoni mwa mambo yanayofaa zaidi kufanya kuhakikisha kuwa safari yako ni ya kufurahia na inafanyika bila kikwazo.  Ifuatayo ni taarifa rasmi ya Bodi ya Utalii Tanzania kuhusu kila kitu utakachohitaji kujiandaa kwa safari yako: taarifa kuhusu benki na maelezo ya namna ya kubadilisha fedha, tahadhari za afya za kuzingatia na taarifa ya ziada kuhusu kinga ya malaria na utambuzi, bima ya safari, mahali pa kupata hospitali na kliniki, namna ya kupata viza na muhtasari wa habari kuhusu usalama.  Ukishajua mambo muhimu ya msingi, utaelewa ipasavyo na kujiandaa kwa kukaa Tanzania, una uhakika wa kila hali na kuwa tayari kwa kufanya safari ya maishani mwako.

Mtindo wa Safari Kupanga safari na mwongozo wa maandalizi
Jinsi ya Kufika Tanzania Afya
Huduma ya maduka Taarifa ya Viza
Malazi Mwongozi wa Upigaji picha mbugani
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-20 20:48:34
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page