Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUshauri wa KusafiriKupanga safari ya kuja Tanzania

Kwa kuwa Tanzania ina mahali pengi pa kwenda na mambo mengi ya kuangalia, kupanga safari kunahitaji utafiti wa makini na kufanya uamuzi mgumu. Wageni wengi wanaona kuwa safari moja tu, haitendei haki maeneo mengi yaliyopo, kwa hiyo wanarudi tena na tena kufurahia wanyamapori wavutia, mandhari ya kupendeza na ukarimu wa watu wake.

Hapa chini tunaeleza kwa muhtasari baadhi ya jinsi ya kufika Tanzania na maana ya kutembelea sehemu mbalimbali mara tu unapofika nchini-kusafiri kwa barabara, ndege, baharini, reli, njia zote zinafaa na unaweza kuchagua maelezo ya vitu vya kusafiri navyo ni pamoja na vitu hadimu nchini,  na vitu ambavyo ukiwa kwenye safari ya kutalii au kufurahia fukwe zenye jua, usingependa kuvikosa.

Taarifa muhimu ya safari inaeleza orodha ya vitu muhimu kuhusu ubadilishaji wa fedha na upataji, tahadhari kuhusu afya wakati wa safari, upataji wa hospitali na kliniki, viza na taarifa ya usalama. “upangaji safari ya kuja Tanzania ” itakuarifu kila kitu unachotaka kujua ili ujiandae kwa safari yako.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-22 08:20:18
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page