Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiJumuia za Kitalii

Shirikisho la Utalii Tanzania (TCT)

Ni shirika mwavuli linalowakilisha sekta za biashara binafsi zinazohusika na usafiri na utalii.  TCT inafanya kazi kuhakikihsa kuwa kupitia uwakilishi katika ngazi ya taifa, sera pana na mikakati inaridhiwa kwa ajili ya uendelezaji na udumishaji wa mazingira ambapo utalii wa kimataifa na wa ndani utakua na ustawi wa sekta ya biashara  utaweza kufikia ukuaji wenye mafanikio na maendeleo wakati huohuo hulinda urithi wa utamaduni na maliasili wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi tembelea Tovuti ya TCT.

Orodha ya Wanajumuia
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-23 20:01:48
Kufaa
3.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page