Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoKilimo

Kilimo ni mhimili wa uchumi wa Tanzania,  kwa hiyo ukuaji  mkubwa na endelevu wa kilimo unahitajika ili kutimiza mkakati wa ukuzaji uchumi na kuondoa umaskini (MKUKUTA). Serikali imeanzisha mpango  wa maendeleo wa sekta ya kilimo (ASDS) unaoweka mfumo wa kufikia malengo na madhumuni ya sekta unaochangia kwenye malengo ya MKUKUTA na Dira ya maemdeleo ya 2025. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu ya maendeleo ya kilimo, mpango mkakati  na ripoti.

Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo PADEP
CAADP CRMP
TAFSIP DASIP
KILIMO KWANZA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-26 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page