Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoMaji

Dira ya maendeleo Tanzania ya 2025 inakusaidia kutokomeza kabisa ufukara na kupata maisha bora kwa watu wote ifikapo mwaka 2025. Usimamizi wa rasilimali ya maji, ugavi wa maji na usafi vimepewa kipaumbele kwenye Dira ya maendeleo hii. Muhimu zaidi kwenye maendeleo ya jumla ni upataji kwa usawa na haki, uwezo wa usimamizi wa maji, na utunzaji bora wa mifumo ya maji na usafi, matumizi ya teknologia zinazozingatia mazingira, na gharama ya maji zenye tija, taratibu za madai na ukusanyaji wa mapato. Kwa sasa Serikali ya Tanzania inatekeleza programu ya maendeleo ya Sekta ya Maji(WSDP,2006-2025) kwa msaada kutoka kwa wabia wa maendeleo. WSDP inalenga maeneo manne katika Sekta ya Maji, ambapo ni (i) Usimamizi wa Rasilimali za Maji na maendeleo(WRMD) (ii) Usambazaji wa Maji katika Jamii na Usafi(CWSS) (iii) Usambazaji wa maji kibiashara na Maji taka(CWSS) (iv) Uimarishaji wa kitaasisi na kujenga uwezo wa Sekta. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu za maendeleo ya maji, mpango mkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako.   

Programu ya Maji baina ya Serikali Programu ya Maji
Mpango wa Maendeleo wa Sekta ya Maji (2005-2025) Mradi wa Jumuiya ya Watumia Maji-CWSSP
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-26 19:15:02
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page